07-03-2007, 10:25 pm

Nataka Kujuwa !!!
Umingia Kwenye Tuvoti Ya Mazungumzo Ukajisajili nayo, Alafu Ukaingiza Matamko Yako Yanayo Kariri Katika Kila Mkutano Wa Mazungumzo, Baada Masa Kadha Zinafutwa Lambali Maongezi Yako Yote Katika hio Tuvoti, basi Ni Nani Wewe? Nani Wewe Hata Wakuogope Wote Kukujibu? Ikiwa Wewe Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar wa Haki Basi Mbona Wajaribu Kutukinaisha Kwa Njiya Ya Intarnet, Hutofaidika Na Kitu Nenda Ukatangaze Kwa Chanel Za Tv Na Uwatangazie Kinacho zunguka Kwa Akili Yako Na Uwanyamazishe Kwa Mazungumzo Yako Ya Ki Asili, Na Uwanyamazishe Kwa Kupigana Kwako Na Wakiafikiyana WanaZuoni Wa Dini Na Mafakihi Wote Kuwa Wewe Ndiyo Al'Mahdi Hapo Watakusadikisha Wote Nasubiri Jibu Lako..


Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
21 - 06 - 1428 هـ
07 - 07 - 2007 مـ
12:32 صـ
http://www.the-greatnews.com/showthread.php?11662
ـــــــــــــــــــــــــ ـ

رد الإمام ناصر اليماني على الأُخت أمة الرحمن
Jibu La Al'Imam Al'Mahdi Kwa Dada Ammatu Al'Rahman

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim Na Salm Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabi Al'alamin, Alsalam Ju Yetu Na Waja Wake Wema Wote Katika Wa Mwanzo Na Katik Wa Mwisho Na Waliyoko Ju Mpaka Siku Ya Dini, Alafu Ba'Ada Ya Hapo..

Dadangu Ammatu Al'Rahman, Na Nataraji Kwa Allah Uwe Kweli Habibatu Al'Rahman Kama Unavo Jita Na Nitakufundisha Kwa Kitu Utajuwa Kutokana Nayo Kuwa Wewe Kweli Habibatu Al'Rahman? Yani Je Allah Anakupenda? Na Ikiwa Unampenda Allah Ewe Dadangu Basi Fwata Haki Atakupenda Allah Na Atakusamehe Madhambi Yako Na Atakubali Amali Yako Na Atatuliza Mawazo Yako Na Wala Usifwate Manjiya Ikupoteze Kutoka Njiya Ya Haki Na Haki Ni Moja, Na NJiya Ya Haki Ni Moja, Na Je ! baada Ya haki Ispokuwa Ni Upotevu? Na Nakupa Nasaha Dadangu Usifunge Imani Yako Kwa Jambo Langu Mpaka Pindi Wakini'Amini Wanazuoni Wa Umma Na Wala Hajafanya Allah Huja Yake Kwako Kuwa Wewe Hutoamini Kwa Haki Mpaka Uwangalie Je ! Kwani Waliyo Mwa'Amini Ni Wengi Na Wale Waliyo Mkadhibisha Ni Kidogo, Bali Daima Katika Haki Hawa'Aminin Mwanzo Wa Jambo Ila Kidogo "Safwatu'3ibadi Allah" Waliyo Bora Na Wengi Katika Watu Wanakuwa Wakanushaji Kwa Haki Pindi Ikiwajiya, Akasema Allah Ta3ala:
{وَإِن تُطِعْ أَكْثَرَ مَن فِي الْأَرْضِ يُضِلُّوكَ عَن سَبِيلِ اللَّهِ}
صدق الله العظيم
[الأنعام:116]
Allah Ta3ala Asema:
{Na Ukiwatii Wengi Wale Waliyoko Katika Ardhi Watakupoteza Kwa Njiya Ya Allah} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'An3am:116]


Basi Usifunge Imani Yako Kwa Jambo Langu Kwa Imani Ya Watu Alafu Uwe kigeougeu Unarudi rudi, Pindi Wakifanya Watu Zuri Na wewe Wafanya Kama Wao Na Pindi Wakifanya Baya Na Wewe Wafanya Baya, Basi Hawatokusaidiya Mbele Ya Allah Kitu Bali Kuwa Katika UlilAlbab Wenye Akili Wale Amesema Allah Ju Yao:
{الَّذِينَ يَسْتَمِعُونَ الْقَوْلَ فَيَتَّبِعُونَ أَحْسَنَهُ أُولَٰئِكَ الَّذِينَ هَدَاهُمُ اللَّهُ وَأُولَٰئِكَ هُمْ أُولُو الْأَلْبَابِ} [الزمر:18]
Allah Ta3ala Asema:
{Wale Ambao Wanasikiza Kauli Alafu Wanafwata Iliyo Bora Wale Ndil Allah Amiwapa Uongofu Na Hawo Ndiyo Wenye Akili} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur:18].


Na Kutokana Na Hi Aya Ewe Dadangu Utajuwa Kuwa Allah Anakulinganiya Utumie Akili Yako Ndio Uwe Ni Katika Watafiti Wa Haki Ndio Utangaliya Bayana Ya Nasser Al'Yamani Yule Ambae Anasema Yeye Ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar Na Bayana Ya Al'Quran Kutoka Kwa Wenye Kutafsiri Kwa Kudhaniya Kujitahidi Kutoka Kwao Na Alafu Anasema; Hio Allah Ndio Ajuwa Naweza Kuwa Nimikosa Na Naweza Kuwa Nimipata, Na Nasema: Subhana Allah Na Je Wajuwa Kuwa Wewe Pindi Ukisema Hakika Ya Ta'Awil Ya Hi Aya Ni Kadha Na kadha Kwakuwa Wewe Una'Wanabahisha Watu Mana Ya Maneno Ya Allah Na Inao Kusudiwa Kwenye Nafsi Ya Allah Kwenye Kawuli Yake, Na Ikiwa Sio Kinacho kusudiwa Kwenye Nafsi Ya Allah Basi Umikuwa Umisema Ju Ya Allah Bila Ya Haki, Basi Nini Itakuwa Mtazamo Wako Mbele Ya Mikono Ya Allah Ewe Mwanachuoni Yule Ambae Anasema Ju Ya Allah Asokijuwa?Na Nawahadharisha Wanazuoni Wakislamu Kwa Kuta'Awil Maneno Ya Allah Kwa Kudhaniya Na Ijtihadi Na Hio Ni Amri Ya Shetani Wala Sio Amri Ya Al'Rahman, Akasema Allah Ta3ala:
{وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ ۚ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ﴿168﴾إِنَّمَا يَأْمُرُكُم بِالسُّوءِ وَالْفَحْشَاءِ وَأَن تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ مَا لَا تَعْلَمُونَ ﴿169﴾} [البقرة]
Allah Ta3ala Asema:
{Na Wala Musifwate Hatuwa Za Shetani Yeye Kwenu Hakika Ni Aduwi Aliyo Wazi (168) Ispokuwa Ana'Wamuru Kwa baya Na Machafu Na Kuwa Museme Ju Ya Allah Yale Muso'Yajuwa (169)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Baqara].

Bali Imeharamishwa Hivo Ju Ya Waumini Akasema Allah Ta3ala:
{قُلْ إِنَّمَا حَرَّمَ رَبِّيَ الْفَوَاحِشَ مَا ظَهَرَ مِنْهَا وَمَا بَطَنَ وَالْإِثْمَ وَالْبَغْيَ بِغَيْرِ الْحَقِّ وَأَن تُشْرِكُوا بِاللَّهِ مَا لَمْ يُنَزِّلْ بِهِ سُلْطَانًا وَأَن تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ مَا لَا تَعْلَمُونَ} [الأعراف:33]
Allah Ta3ala Asema:
{Sema: Mola Mlezi wangu ameharimisha mambo machafu ya dhaahiri na ya siri, na dhambi, na uasi bila ya haki, na kumshirikisha Mwenyezi Mungu na asicho kiletea uthibitisho, na kumzulia Mwenyezi Mungu msiyo yajua} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf:33]

Na Lau Utangalia Ewe Amatu Al'Rahman Baina Ya Bayana ya Al'Quran Yenye Burhan ushuhuda Na Utawala Kutoka Kwa Qurani Yenyewe Na Baina Ya bayana Ya Al'Quran Kwa Kudhaniya Na Kujitahidi Ambao Hajateremsha Allah Kwa Hio Utawala Ndio Utaona Dadangu Tafauti Kama Tafauti Baina Ya Haki Na Batili Na Watatambuwa Hio Wenye Akili Na Busara Wale Ambao Wanatadabar Aya Za Mola Mlezi Wao, Ama Kuwa Akukumbushe Moja kati Ya Wanazuoni Wa Umma Kwa Kuta'Awil Aya Fulani Katika Al'Quran Al'3adhim Ukafwata Hio Ta'Awil Ambayo Hakuja Nayo Mfasiri Na Burhan ushuhuda Ambao Ni Wazi Na Inaonekana Kutoka Kwa Al'Quran ikiwa Wewe Unatafuta Ilmu Basi Ataenda Kukupoteza Huyu Mfasiri Kutokana Na Njiya Iliyo Nyoka Bali Amiekuamirisha Allah ewe Dadangu Kuwa Usinyenyeke Ispokuwa Kwenye Haki Mpaka ulinganie Kwa Ilimu Na Busara Usiwe Kipofu Ufwate Tafsiri Bila Kufikiriya Ndio Ikupoteze Kwa Njiya Ya Allah, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَالَّذِينَ إِذَا ذُكِّرُوا بِآيَاتِ رَبِّهِمْ لَمْ يَخِرُّوا عَلَيْهَا صُمًّا وَعُمْيَانًا} [الفرقان:73]
Allah Ta3ala Asema:
{Na wale ambao wanapo kumbushwa Ishara za Mola wao Mlezi hawajifanyi viziwi nazo, na vipofu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan: 73].

Bali Angaliya Je Hi Ta'Awil Kweli Na Inayo Burhan ushuhuda Ya Wazi Kutoka Kwa Al'Quran Ama Ni Kauli Ya Kudhani Basi Juwa Dadangu Kuwa Dhana Haisaidi Kwenye Haki Kitu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ الظَّنَّ لَا يُغْنِي مِنَ الْحَقِّ شَيْئًا}
صدق الله العظيم [يونس:36]
Allah Ta3ala Asema:
{Na Dhana Hakika Hasaidi Kutokana Na Haki Kitu} Sasaqa Allah Al3adhim [Yunus:36].

Na Huwenda Moja Kutaka Kunikatiza Na Kusema: Kwamba Allah Anawaeleza Makafiri Kwa Kauli Yake:
{وَالَّذِينَ إِذَا ذُكِّرُوا بِآيَاتِ رَبِّهِمْ لَمْ يَخِرُّوا عَلَيْهَا صُمًّا وَعُمْيَانًا} [الفرقان:73].
Allah Ta3ala Asema:
{Na wale ambao wanapo kumbushwa Ishara za Mola wao Mlezi hawajifanyi viziwi nazo, na vipofu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan: 73].
Na Tunasema Sivo Lakini Anaeleza Yule Ambae Anamini Allah Ndio Anawakumbusha Kwa Yale Aliyo Haramisha Allah Kwao Na wala Sijapata Katika Al'Quran Al3adhim Alkharr Ni Kufru Bali Ni Kusujudu, Na Anawaeleza Haswa Sana Wanazuoni Wa Umma Kuwa Wasi Sujudu Kwa Matafsiri Wawafundishe Waislamu Watu Wa Kawaida Kwa Kudhaniya Kwao Kuwa Hi Tafsiri Ni Ya haki, Na Lakini Na Je Ikiwa Ni Batili Ewe Mwanachuoni basi Wewe Wafundisha Watu Batili Wala Sio Haki Kwasababu Kuwa Wewe Umisujudiya Kwa Tafsiri Bila Kutafakari Kama Kwamba Yule Mfasiri Hatamki Kwa Hawa Na Alicho Sema Ni kweli haki, La Sivo Usiwe Kipofu Kiziwi Na Wala Hutumi Akili Yako Je Hi Tafsiri Ina Burhan ushuhuda Iliyo WaZi Ndio Nifundishe Nayo Watu Ama Nayo Ni Adimu Ya Burhani ushuhuda Na Utawala? Na Hapo Ndio Utajuwa Kuwa Ni Amri Ya Shetani Kuwa Useme Ju Ya Allah Kile Usokijuwa Ndio Uepukane Nayo, Na Mutadabar Kauli Ya Allah Tena Mutakuta Mwaelezwa Nyenye Enyi Ma3ashara Ya Waumini, Amesema Ta3ala:
{وَالَّذِينَ لَا يَدْعُونَ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ وَلَا يَقْتُلُونَ النَّفْسَ الَّتِي حَرَّمَ اللَّهُ إِلَّا بِالْحَقِّ وَلَا يَزْنُونَ ۚ وَمَن يَفْعَلْ ذَٰلِكَ يَلْقَ أَثَامًا ﴿68﴾يُضَاعَفْ لَهُ الْعَذَابُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وَيَخْلُدْ فِيهِ مُهَانًا ﴿69﴾إِلَّا مَن تَابَ وَآمَنَ وَعَمِلَ عَمَلًا صَالِحًا فَأُولَٰئِكَ يُبَدِّلُ اللَّهُ سَيِّئَاتِهِمْ حَسَنَاتٍ ۗ وَكَانَ اللَّهُ غَفُورًا رَّحِيمًا ﴿70﴾وَمَن تَابَ وَعَمِلَ صَالِحًا فَإِنَّهُ يَتُوبُ إِلَى اللَّهِ مَتَابًا ﴿71﴾وَالَّذِينَ لَا يَشْهَدُونَ الزُّورَ وَإِذَا مَرُّوا بِاللَّغْوِ مَرُّوا كِرَامًا ﴿72﴾وَالَّذِينَ إِذَا ذُكِّرُوا بِآيَاتِ رَبِّهِمْ لَمْ يَخِرُّوا عَلَيْهَا صُمًّا وَعُمْيَانًا ﴿73﴾وَالَّذِينَ يَقُولُونَ رَبَّنَا هَبْ لَنَا مِنْ أَزْوَاجِنَا وَذُرِّيَّاتِنَا قُرَّةَ أَعْيُنٍ وَاجْعَلْنَا لِلْمُتَّقِينَ إِمَامًا ﴿74﴾أُولَٰئِكَ يُجْزَوْنَ الْغُرْفَةَ بِمَا صَبَرُوا وَيُلَقَّوْنَ فِيهَا تَحِيَّةً وَسَلَامًا ﴿75﴾خَالِدِينَ فِيهَا ۚ حَسُنَتْ مُسْتَقَرًّا وَمُقَامًا ﴿76﴾قُلْ مَا يَعْبَأُ بِكُمْ رَبِّي لَوْلَا دُعَاؤُكُمْ ۖ فَقَدْ كَذَّبْتُمْ فَسَوْفَ يَكُونُ لِزَامًا ﴿77﴾}
صدق الله العظيم [الفرقان]
Allah Ta3ala Asema:
{Na wale wasio mwomba mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu, wala hawaui nafsi aliyo iharimisha Mwenyezi Mungu isipo kuwa kwa haki, wala hawazini - na atakaye fanya hayo atapata madhara (68) Atazidishiwa adhabu Siku ya Kiyama, na atadumu humo kwa kufedheheka (69) Isipo kuwa atakaye tubu, na akaamini, na akatenda vitendo vyema. Basi hao Mwenyezi Mungu atayabadilisha maovu yao yawe mema. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu (70) Na aliye tubu na akafanya mema, basi hakika huyo ametubu kweli kweli kwa Mwenyezi Mungu (71) Na wale ambao hawatoi ushahidi wa uwongo, na pindi wapitapo penye upuuzi, hupita kwa hishima yao (72) Na wale ambao wanapo kumbushwa Ishara za Mola wao Mlezi hawajifanyi viziwi nazo, na vipofu (73) Na wale wanao sema: Mola wetu Mlezi! Tupe katika wake zetu na wenetu yaburudishayo macho, na utujaalie tuwe waongozi kwa wachamngu (74) Hao ndio watakao lipwa makao ya juu kwa kuwa walisubiri, na watakuta humo maamkio na salamu (75) Wadumu humo - kituo na makao mazuri kabisa (76) Sema: Mola wangu Mlezi asinge kujalini lau kuwa si kuomba kwenu. Lakini nyinyi mmemkadhibisha. Basi adhabu lazima iwe.(77)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan].


Ewe Allah Nimi'Balighisha Shuhudiya, Na Ama Suali La Amatu Al'Rahman: Kwanini Sidhihiriki Kwa Wanazuoni Wa Umma Kwa Kuzungumza Niwanyamazishe? Na Jibu Kwa Dadangu Mwenye Tabiya Njema Alobarikiwa Mtafiti Wa Haki, Akasema Dadangu; Nataka Kujuwa, Na Tunamwambiya Kauli Ya Allah
{ ن وَالْقَلَمِ } { Nun na Kalamu}
Na Mimi Ndio { ن} { Nun}, Nawalinganiya Watu Kwa Kalamu kabla Ya Kudhihirika Wala Sio Kwa Kuongea Moja Kwa Moja Mpaka Pindi Wakisadikisha Kwa Jambo Langu Nitadhihirika Kwao Kwa Kunibaye3 kunipa utawala Kwenye Nguzo Ya Alrukn Al'Yamani Ama Wadhani Kuwa Al'Mahdi Atadhihirika Kwa Watu Kwenye Nguzo Ya Alrukn Al’Yaman Ndio Aseme: Mimi Ndio Al'Mahdi Alafu Watu Wamwambie Marhaba Wasmame Wampe Beyi3a, Bali Watampiga Wambwage Chini Ndio Allah Amkinge Kwa Yale Waliyo Yatenda Ndio Awangamize Kuangamiza, Kwa Hivo ile Hikma Unayo Yaona Nayo Yafanya Ewe Dadangu Nazungumza Na Wao Kupitia Hi Chombo Kwa Njiya Ya Entarnet Ya Ulimwengu Na Nimipokea Amri Hi Kutoka Kwa Mola Mlezi Wangu Kwa Njiya Ya Kuoteshwa, Na Ndoto Yamhusu Aliyo Ota Haijengwi Hukmu Ya Shariya Kwa Waislamu Kwakuwa Mtu Amiona Ndoto Na Tosha Kwa Mtu Kuwa Apewa Waadhi Kwa Kuoteshwa, Na Haitakiwi Kwangu Kudhihirika Kwenye Nguzo ya ki Yemenii Ila Katika Hali Moja, Ikiwa Moja Katika Viongozi Wa Umma Akanambia Dhihirika Upoke Bendera Basi Haitakiwi Kwangu Nijifiche Hata Kama Ananidanganya Na Anitakia Ubaya Nitajuwaje Mimi Kama Ni Mkweli Ama Ananidanganya, Lakini Najuwa Haki Kwa Kauli yake Allah Ta3ala:

{ وَإِن يُرِيدُوا أَن يَخْدَعُوكَ فَإِنَّ حَسْبَكَ اللَّهُ } [الأنفال:62]

Allah Ta3ala Asema:
{Na Wakitaka Kukudanganya Basi Atakutosheleza Allah} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal:62].

Na Ama Kushanga Kwako Kwa Wanazuoni Wa Umma Kwanini Wao Wamenyamaza Kimya Wale Ambao Wamiangaliya Jambo Langu Katika Muntadayat Al'Islamiya Na Wala Wao Hawa'Kunikadhibisha Wala Wao Hawakuni'Amini Basi Waulize Wao Huwenda Wakakuletea Jibu Tupate Kufaidika Nijuwe Sababu Na Wala Sio Kujivurumiza Mwenye Kufwata Mlinganizi Wa Njiya Iliyo Nyoka Kwa Ilmu Na Uongofu Na Kitabu Kinao'Angaza, Bali Kujivurumiza Ni Yule Amifwata Dhana Ambae Haisaidi Kwa Haki Kitu, Na Ikiwa Batili Basi Amiangamia Na Ikiwa Ni Haki Amiokoka, Kwahivo Hio Ndio Kujivurumiza Wala Sio Kuingia Kwenye Tuvoti Yetu Dadangu Bali Wewe Ni Mtafiti Wa Haki Na Uskize Kauli Na Ufwate Iliyo Bora,
Wasalam Alekom Warahmatu Allahi Wabarakatuhu.

Kakako Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
ـــــــــــــــــــــــــ ـــــــــــــــــــــــــ

Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
21 - 06 - 1428 هـ
07 - 07 - 2007 مـ
10:16 مسـ
ـــــــــــــــــــــــــ ـ

يا أمة الرحمن قد جعل الله بُرهان الإمامة في القرآن
Ewe Amatul’Rahman Hakika Amefanya Allah Ushuhuda Wa Uwimamu Kwenye Al’Qura

Bismillah Al’Rahman Al’Rahim Na Salam Ju Ya Mitume Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin..

Ewe Amata Allah ikiwa wewe ni mwanafunzi watafuta ilimu basi peleleza hutuba zangu zote utajua mengi na bado tuna mengi zaidi na ukipita kwenye maudhui hujaifahamu basi hakika tutakuzidisha ilimu kwa idhini ya Allah na hakika tutakupa kwetu ushuhuda na utawala kutoka kwa Hadithi Ya Al’Rahman Na Tosha Allah Kua Shahidi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَهُ يُؤْمِنُونَ}
صدق الله العظيم [المرسلات:50]
Allah Ta3ala Assam:
{Lakini Hadith ipi baada ya hi wanaamini} Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Mursalat :50].

Alafu ujuwe kwamba ma Tarehe zote kulingana na siku na mwezi wa mwaka wa kijua katika dhati ya jua Basi usidhani kwamba ile siku ambayo nimewaonya nayo watu imeisha bali sisi tuko ndani yake kutoka kutokezea mwanzo wa mwezi wa Rabii Alawal ya mwezi Mwaka 1426 hijiria, Almuwafiq Juma 8 April 2005 Bado tunazali tuko kwenye siku hio ya kijua basi isikufitini ma tarehe ambazo huna ilimu nayo basi ukiona inapatikana hamu ya kutafuta ilimu kwako basi utafahamu bayana ya haki ya Al’Quran na utaamini kweli jua na mwezi iko na hisabu na inategemea ju yake tarehe ya Al’Quran Na siri zake katika Bayana kutoka kwa dhati ya Al’Quran na wala haitakiwi kwangu niwachuguzie Bayana ya haki ya Al’Quran mbali na Al’Quran na nitakupigia kwa hayo mfano suali la kiiftiradhi kutoka kwako.


Suali,1- Amat Al’Rahman: Jee Ametu’umba Allah ili tumpende ndio tumwabudu kama inavo Takikana kuabudiwa? Ama kwamba yeye Ametu’umba kwajili ya Neema ya dunia? Ama kwamba Yeye Ametu’umba kwajili atuingize Pepo upana Wake upana wa Ardhi Na mbingu? Ama kwamba Yeye Ametu’umba ili atutupe Katika Moto wa Jahanam?


Jibu- Na hio kwako jibu kutoka kwa kitabu kwa kauli ilio fafanuliwa wala sio mchezo anaifahamu wenye akili na kua kama Maryam Albatul ndio umnyenyeke Mola Mlezi wako kunyenyekea na umtaje Allah kwa wingi na ujikurubishe kwake kwa vitendo vema kutaka Ridhwan Ya Nafsi Yake Na Wala usifanye Ridhwan Allah ni wasila njia ili itimu kupatikane Lengo pepo Neema ndogo Basi ikiwa wewe wampenda Allah na Akakupenda Allah na Akakukurubisha basi utagundua Neema kubwa kuliko Pepo Janna ambao upana Wake upana wa mbingu na ardhi wala sio Neema ya vitu Bali ni kubwa kuliko Neema ya kumiliki na ufalme wote na hio ni Jina la Allah Kuu uhakika wa Ridhwan Ya Nafsi ya Alllah ju ya waja wake na Amebainisha Allah kwenye Al’Quran Kwamba Neema ya Ridhwan ya Nafsi Yake Ta3ala ju ya waja wake ni Neema Kuu Kuliko Pepo Yake. Akasema Allah Ta3ala:
{‏وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ}‏
صدق الله العظيم [التوبه:72]
Allah Ta3ala Asema:
{Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa} Sadaqa Allah Al3adhim [Altwuba:72].

Na je umejua Ewe Dadangu kwamba Ridhwan Allah ni Neema Kuu Kuliko Pepo Na hio ni Jina La Allah Kuu, Lakini Kwa maskitiko kwamba wengi katika wale hawajuwi wanadhani kwamba Jina la Allah Kuu nalo ni Jina Kubwa Kuliko Majina Yake Tisini na Tisa Matukufu, Na haijuzu hivo bali hivo ni Kukufuru na kukanusha katika Majina Ya Allah Na yote ni ya Allah Ambae Ni Al’Wa7hid Al’Qahar Basi vipi itakua Jina Kuu Kuliko Jina lingine Na Yeye Ni Moja Pekeyake Lakini kwa maskitiko baadhi ya wanazuoni wanadhani kwamba Jina Kuu nalo ni Jina Kuu Kuliko Majina Ya Allah Mingine Subhanahu Wata3ala 3uluwan Kabira, Na sababu ya kudhani kwao hivo kwajili kulingana ilivo kuja kwenye hadithi (إسم الله الأعظم)
( Jina La Allah Kuu ) Wanadhani kua Jina Kuu Kuliko Majina Yake Mengine Bali Anakusudia kwamba ni Kuu Yani Neema Kuu Kuliko Neema ya Pepo kama tulivo thibitisha hivo kutoka kwa Al’Quran Al3adhim Ambao imetaja kwamba Ridhwan Ya Allah Juu ya Waja Wake Ni Kuu Kuliko Neema Ya Pepo. Na hivo kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ}‏
صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:
{Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa} Sadaqa Allah Al3adhim.

Eeee Na Mola Mlezi Wangu kwamba hio ni Neema Kuu Kuliko Neema ya Pepo Na kwajili ya hivo Amewaumba enyi ma3ashara ya binadamu na majini Na hio ndio Neema mutaulizwa ju yake enyi ambao imewashughulisha nayo uwingi mpaka mukatembelea makaburi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَـنِ الرَّحِيمِ
{أَلْهَاكُمُ التَّكَاثُرُ ﴿1﴾حَتَّىٰ زُرْتُمُ الْمَقَابِرَ ﴿2﴾كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ ﴿3﴾ثُمَّ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ ﴿4﴾كَلَّا لَوْ تَعْلَمُونَ عِلْمَ الْيَقِينِ ﴿5﴾لَتَرَوُنَّ الْجَحِيمَ ﴿6﴾ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيْنَ الْيَقِينِ ﴿7﴾ثُمَّ لَتُسْأَلُنَّ يَوْمَئِذٍ عَنِ النَّعِيمِ ﴿8﴾}.
صدق الله العظيم [التكاثر]
Bismillah Al’Rahman Al’Rahim
{ Kumekushughulisheni kutafuta wingi (1) Mpaka mje makaburini! (2) Sivyo hivyo! Mtakuja jua! (3) Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua (4) Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini (5) Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu! (6) Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini (7) Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya Neema (8)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altakathur].


Na hio ndio Neema ambao Atawauliza ju yake Allah ni Lengo ambalo amewaumba kwajili yake ili mumabudu Mola Mlezi wenu Ndio mutake kwake Al’Wasila Ya Kuridhika Nafsi Yake juu yenu na hio ndio Ibada ya haki, Na Wala sikupata kwenye Al’Quran Al3adhim kwamba Allah Amewaumba kwajili ya Neema ya Dunia wala kwajili ya Neema ya Akhera Bali napata Kwenye Al’Quran Al3adhim kwamba Allah Ameumba Neema Zake Na Neema yake katika dunia na Akhera kwajili yenu na Akawaumba kwajili yake Ta3ala. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ }
صدق الله العظيم
[الذاريات:56]
Allah Ta3ala Asema:
{Siku’umba majini wala watu ila waniabudu Mimi} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldhariat:56].

Basi vipi wanadhani wale wanasema ju ya Allah wasio kijua kwamba Neema ambao Atawauliza Allah ju yake kwamba ni Neema ya dunia? Na je kwani wao wameshughulishwa na kitu kingine kando nayo? Bali hio ndio ilio washughulisha na Neema ya haki ambao ndio Lengo ambalo wameumbwa nalo ikawashughulisha uwingie kwa mapambo ya maisha ya dunia kutokana nayo na kuhusu hio wamejishughulisha mbali nayo ndio wataulizwa, Na je Amewaleta Alalh kwenye maisha haya ispokua awafanyie majaribio yupi mbora kwa kutenda; Kuabudu Allah Mola Mlezi wa ulimwengu, Basi kiasi gani mumeuwa Al’Quran Ku’uwa enyi ambao munasema tafsiri kwa dhana amabo haisaidi haki kitu ! Basi vipi dunia itawashughulisha alafu Awaulize ju yake? Na je kwani Amewaumba kwajili ya dunia kama kwamba hio ni lengo ambao Allah Amewaumba kwajili yake? Na kwajili nyinyi mume shughulika nayo ndio Atawauliza, Bali hio dunia ndio iliwaghuri na ikawashughulisha kutokana na haki lau mungekua munajua basi Mujuwe kwamba Allah Atawauliza kuhusu kitu ambacho uwingi iliwashughulisha nayo. Nayo ni ile ilikuja kwenye kauli Yake Ta3ala:
{وَمَاخَلَقْتُالْجِنَّوَا